Advertisements

Wednesday, July 23, 2014

MPIGIE KURA GAZUKO KWENYE TUZO ZA AFRICA GOSPEL MUSIC AWARDS

                                                     GAZUKO AKIWA KWENYE POZI
Gazuko ni kijana pekee ambaye anafanya muziki wa injili kwa style ya Hip hop na ni miongoni mwa wasanii wa muziki wa injili wanaoiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye Tuzo za Africa Gospel Music Awards kwa kifupi zinajulikana kama (AGMA) ambapo kwa hapa Tanzania mwaka huu wameingia waimbaji kama Rose Mhando,Christina Shusho pamoja na Gazuko...
Gazuko ameomba watanzania na wasio watanzania waweze kumpigia kura kwa wingi ili aweze kuchukua hiyo tuzo ya AGMA ambayo kwake ni ndoto yake kuipata Gazuko kwenye tuzo hizo yupo kwenye category ya Afro Rap Artiste Of The Year ndani ya category hiyo kuna ushindani wa wanahip hop 15 kutoka nchi mbali mbali za  Africa na Ulaya hivyo Gazuko anaomba kura yako ili aweze kutimiza ndoto yake na pia kuliletea Taifa letu heshima jinsi ya kupiga kura ingia kwenye website ya http://www.africagospelawards.com/vote.html alafu nenda mpaka kwenye category ya AFRO RAP ARTISTE OF THE YEAR utaliona jina la Gazuko (Tanzania) hapo utaweza kumpigia kura kwa kuweka nukta nyuma ya jina lake na ukimaliza unatelemka hadi mwisho wa category unabonyeza neno "VOTE" na kwa kufanya hivyo utakuwa umewezesha Taifa letu kujipatia ushindi.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © KANISA MUZIKI All Right Reserved
Designed by Harman Singh Hira @ Open w3.