MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI AKUMBWA NA MAAFURIKO JIJINI DAR ES SALAM
LEAH AMOS AKIWA KATIKA HUDUMA
Mwimbaji wa muziki wa injili wa hapa nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Leah Amos anayetamba nawimbo wa "naucheka wakati ujao"amekumbwa na janga la maafuriko ambayo yalitokea siku kadhaa zilizopita.
Leah Amos ambaye anaishi jijini dar es salam maeneo ya tabata mesema kuwa pamoja na hayo anamshukuru Mungu kwa kuwa hakuna uharibifu wa mali uliotokea ila amechukua tahadhari kwa kuweka vitu sehemu salama ili kujihadhali na maafuriko hayo ambayo yalipelekea matatizo makubwa kwa baadhi ya wakazi wa jiji la dar es salam na maeneo ya karibu yakiemo madaraja kadhaa kuaribika,
Ikumbukwe kuwa huyu ni mwimbaji wa muziki wa pili kukumbwa na janga la maafuriko mwingine ni Sarah Mvungi ambaye naye miaka kadhaa ya nyumba alipatwa na janga hili ambalo lilipelekea kuaribika kwa mali zake mpaka kupelekea kuenda kuishi kwa mwimbaji wa muziki wa Bahati Bukuku.
TUNATOA POLE KWA MWIMBAJI LEAH AMOS KWA MAAFURIKO
0 comments:
Post a Comment