MPIGIE KURA CHRISTINA SHUSHO,GAZUKO,ROSE MHANDO NA SOLOMON MUKUBWA
GAZUKO AKIWA KATIKA POZI
KUANZIA SIKU YA LEO UNAWEZA KUWAPIGIA KURA WAIMBAJI WANAOWAKILISHA TANZANIA KWENYE TUZO ZA AFRICA GOSPEL MUSIC AWARDS AMBAO NI ROSE MHANDO,GAZUKO,SOLOMON MUKUBWA NA CHRISTINA SHUSHO........ILI KUWAPIGIA KURA INGIA KWENYE LINK HII HAPA CHINI NA UTAZAME CATEGORY ZA MWIMBAJI BORA WA AFRIKA MASHARIKI,MWIMBAJI BORA WA KIKE AFRIKA NA AFRO RAP ARTISTE OF THE YEAR
CHRISTINA SHUSHO AKIWA KWENYE POZI
.....jinsi ya kupiga kura angalia majina ya waimbaji wa Tanzania ambao ni Rose Mhando, Gazuko Junior ,Solomon Mukubwa na Christina Shusho na ubonyeze kinukta kilichopo kwenye jina lake kisha shuka chini mwisho wa hiyo categor husika na ubonyeze neno "VOTE" na kwakufanya hivyo utakuwa umewawezesha waimbaji wetu kufanikiwa.
http://www.africagospelawards.com/vote.html
http://www.africagospelawards.com/vote.html
0 comments:
Post a Comment