MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA KUOA MZUNGU MWAKA HUU
MATHIAS NZIKU AKIWA KATIKA POZI
Mwimbaji wa muziki wa injili hapa nchini Tanzania anyefahamika kwa jina la Mathias Nziku anayetamba na nyimbo zake za mwiba na nimechoka, Ameamua kuvunja ukumya kwa kusema kuwa mwaka huu anatarajia kufunga ndoa na mcumba wake ambaye ni raia wa nchini Australia pia ni mmiliki wa kampuni moja ya utalii iliyopo mkoani Iringa lakini kwa sasa mzungu huyo yupo nchini Australia kwa ajili ya kumalizia masomo.
HISTORIA YA MATHIAS NZIKU NA WAZUNGU
Mathias Nziku hapa anaelezea historia yake kwa ufupi ya ya uhusiano alionao na wazungu
"mimi wakati nipo mdogo nililelewa na mzungu aliyekuwa rafiki wa mama yangu ikafika hatua alipokuwa anataka kurudi kwao Denrmak akataka kuondoka na mimi lakini baba akazuia
SABABU YA MATHIAS NZIKU KUTAKA KUMUOA MZUNGU NA SIO MTANZANIA AU MWAFRICA KWA UJUMLA
hapa Mathias Nziku anaelezea sababu za yeye kutaka kumuoa mzungu
"ni kwamba katika maisha yangu ninaongozwa na Mungu so huyu binti niliambiwa mapema na Mungu wangu miaka saba nyuma kwamba nitapata mke Australia na kweli nimempata kama nilivyoelezwa " Alisema mwimbaji huyo kupitia namba zake za simu hizi 0766954196
TAZAMA VIDEO YA MATHIAS NZIKU WIMBO UNAITWA MWIBA
0 comments:
Post a Comment