Advertisements

Thursday, April 24, 2014

HUYU NDO MWIMBAJI WA KWANZA WA INJILI KUACHIA ALBUM YENYE NYIMBO 20

                                               MATENDO ANDREW AKIWA KATIKA POZI

Wengi tumezoea kuona waimbambaji wa muziki wa injili wakitoa album zenye nyimbo zisizozidi nyimbo nanae lakini mtazamo umekuwa tofauti kwa mwimbaji huyu anayefahamika kwa jina la Matendo Andrew ambaye amefikia uamuziki wa kutengeneza album yenye nyimbo 20
Blog hii ilibahatika kuonana na Matendo na kufanya naye mahojiano.

YAFUATAYO NI MAHOJIANO TULIYOFANYA NA MATENDO ANDREW HUKU AKIELEZEA KILA WIMBO MMOJA MMOJA NA NYIMBO NUSU NUSU KUTOKA KATIKA ALBUM YAKE YA NDANI YA YESU HAPA ZIPO NYIMBO 19 ILI KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD FUATA KILA LINK YA WIMBO.

1.BABA ASANTE 2.BWANA U SEHEMU YANGU 3.CHAKUTUMAINI SINA 4.FAR AWAY 5.I THANKS GOD 6.IVEVE ORIGINAL 7.IVEVE REMIX 8.JESUS I WANNA 9.MAMA 10.MSAMAHA 11.NDANI YA YESU 12.NDOA 13.NDOA ORIGINAL 14.NITUMIE 15.SHANGILIA NDOA 16.SIMBA WA YUDA 17.TALK TO ME 18.USINIPITE

0 comments:

Post a Comment

Copyright © KANISA MUZIKI All Right Reserved
Designed by Harman Singh Hira @ Open w3.