Advertisements

Thursday, April 24, 2014

WANA DAR ES SALAM MSIKILIZE BASHANDOOOOO ANA BONGE LA DILI



Nachukua hatua hii kuwashukuru wadau wote kwa dua zenu njema kwangu.
Pia napenda kuwataarifu kwamba jumapili ya tarehe 25 May 2014 nitakuwa nazindua album yangu ya kwanza katika venue ya Ukumbi hall pale kituo cha mbuyuni kabla haujafika tegeta. Tamasha litaanza saa 08:30 mchana hadi saa 01:30 jioni.. Hakutakuwa na kiingilio. Watumishi pamoja na waimbaji mbalimbali watakuwepo kama vile Nickodemus Shaboka Jr. Rungu LA Yesu, Zangina Shanang Zangina, Angel Benard, Gastor Sapula, Aloyce SirMbezi, Alfredy Funda, Fredrick Mulinda, Gazuko Junior, Huru Kweli,Baltazary Morefire, Gee Maarufu, Elandre, Dp Douglas, Mwinjilist Peter Sombasomba, Brian Mwimba, Prince Joseph, Peter Lusse, Peter Banzi, Veejay, Unity Family, Imani Ally, Pona Hurst Bukuku, Rose Mushi, Magele Winner, Norangel Bernard, Novic Daniel, Hope J Mkama, Manwater Kombinenga, Nyenye Gabriel, B4C BAND, pamoja na wengine wengi. Zidi kuiombea hii siku, na pia milango iko wazi kwa yeyote atakaeguswa kusuport kazi hii kwa kadili Mungu atakavyosema na yeye.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © KANISA MUZIKI All Right Reserved
Designed by Harman Singh Hira @ Open w3.