ALICHOKIANDIKA GAZUKO KUPITIA FACEBOOK
NAMSHUKURU MUNGUKWAKWELI MAANA KUPITIA FACEBOOK AMENIPATIA WATU WA KARIBU NA WASHIDA NA RAHA TENA KWA UPANDE MWINGINE NASEMA NI MDUGU KABISA MAANA MTU KAMA Adam Mbise, Matendo Andrew Mgeni, Kinyambe James, Masai Nyotambofu , Sir.Mbezi KIUKWEL
SIWEZI NIKAWAITA MARAFIKI BALI NI NDUGU ZANGU.......NAPENDA WANAFB
TUZIDI KUWA KARIBU NA TUWE KARIBU KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU PANAPO
NA MATATIZO AMA FURAHA TUSHIRIKIANE TUSIISHIE URAFIKI WA MITANDAONI
TU...MUNGU AWABARIKI.
0 comments:
Post a Comment