Advertisements

New Post

Rss

Tuesday, December 1, 2015
no image

MOTO MKUBWA WATEKETEZA MALI ZA MWANAMUZIKI ATOSHA KISAVA

IMG_8346
Nyumba ya mwanamuziki wa Injili Atosha Kisava imeungua moto na kupoteza baadhi ya vitu vya thamani kama vilivyokuwa ndani humu.
Mpaka sasa jitihada za uchunguzi wa chanzo cha moto huo zinaendelea kufanyika na wakati huo huo taarifa kutoka shirika la umeme TANESCO linasema chanzo cha moto huo hakihusiani na umeme, hivyo bado uchunguzi wa kina unaendelea.
Moto huo ulianza majira ya saa 11 jioni alipokuwa ametoka na kurudi majira ya saa 12 jioni na kukuta majirani na baadhi ya watu wakiwa kwenye jitihada za kuuzima moto huo. Kwa taarifa zaidi angalia CHOMOZA ya CLOUDS TV siku ya juma pili saa 12 jioni.
IMG_8347 IMG_8348 IMG_8349 IMG_8350 IMG_8351 IMG_8352 IMG_8353 IMG_8354
Thursday, January 1, 2015
Tuesday, December 9, 2014
SHAVU KWA PRODUCER MROPE....

SHAVU KWA PRODUCER MROPE....



Anaitwa Edwin Mrope ni producer wa muziki wa injili anamiliki studio yake iliyopo msasani....studio inaitwa Tuners Production amefanya kazi za waimbaji mbali mbali ambao ni wakubwa.....hivyo wewe mwimbaji unayetaka kurecord ni anafasi yako kuwasliana na Edwin Mrope mpigie simu namba 0713246084 naye atafanya kazi yako kwa viwango vya hali ya juu..........PICHANI EDWINI MROPE AKIWA NA MWIMBAJI EDSON MWASABWITE ALIPOENDA KURECORD STUDIO HAPO.
Friday, November 7, 2014
GAZUKO KUACHIA YESU NI BWANA

GAZUKO KUACHIA YESU NI BWANA


Huweziukazungumzia muziki wa injili kwa upande wa hip hoppasipo kumzungumzia kijana Gazuko nimiongoni mwa vijana wanaofanya vizuri sana na wimbo wake wa ombi loangu aliomshirikisha mwimbaji wa muziki wa injili Edson Mwasabwite,
pamoja na wimbo huo kuendelea kufanya vizuri lakini Gazuko amesema kuwa ameamua kuachia wimbo wake mpya utakaokwenda kwa jina la Yesu ni Bwana ambao mpaka dakika hii imebakihatua za mwisho ili kuweza kuuachia huo wimbo hivyo Gazuko amewataka mashabiki wake na mashabiki wa muziki wa injili duniani kote wakae mkao wa kupokea kazi hiyo .
Tuesday, October 28, 2014
Mathias Nziku kuwasha moto mkoani Dodoma

Mathias Nziku kuwasha moto mkoani Dodoma


Mwimbaji anayekuja vizuri kwenye industry ya muziki wa injili Mathias Nziku ambaye anatamba na kibao chake cha mwimba ambao jana Kanisa muziki tumeiachia rasmi anatarajia kutua makao makuu siku ya jumapili hii kwa ajili ya kushiriki kiuimbaji katika tamasha kubwa litakalofanyika katika ukumbi wa FPTC maeneo ya Chamwino ni kuanzia saa nane mchana jumapili hii.
Copyright © KANISA MUZIKI All Right Reserved
Designed by Harman Singh Hira @ Open w3.