GAZUKO KUACHIA YESU NI BWANA
Huweziukazungumzia muziki wa injili kwa upande wa hip hoppasipo kumzungumzia kijana Gazuko nimiongoni mwa vijana wanaofanya vizuri sana na wimbo wake wa ombi loangu aliomshirikisha mwimbaji wa muziki wa injili Edson Mwasabwite,
pamoja na wimbo huo kuendelea kufanya vizuri lakini Gazuko amesema kuwa ameamua kuachia wimbo wake mpya utakaokwenda kwa jina la Yesu ni Bwana ambao mpaka dakika hii imebakihatua za mwisho ili kuweza kuuachia huo wimbo hivyo Gazuko amewataka mashabiki wake na mashabiki wa muziki wa injili duniani kote wakae mkao wa kupokea kazi hiyo .
0 comments:
Post a Comment