MOTO MKUBWA WATEKETEZA MALI ZA MWANAMUZIKI ATOSHA KISAVA
Mpaka sasa jitihada za uchunguzi wa chanzo cha moto huo zinaendelea kufanyika na wakati huo huo taarifa kutoka shirika la umeme TANESCO linasema chanzo cha moto huo hakihusiani na umeme, hivyo bado uchunguzi wa kina unaendelea.
Moto huo ulianza majira ya saa 11 jioni alipokuwa ametoka na kurudi majira ya saa 12 jioni na kukuta majirani na baadhi ya watu wakiwa kwenye jitihada za kuuzima moto huo. Kwa taarifa zaidi angalia CHOMOZA ya CLOUDS TV siku ya juma pili saa 12 jioni.
0 comments:
Post a Comment