Mathias Nziku kuwasha moto mkoani Dodoma
Mwimbaji anayekuja vizuri kwenye industry ya muziki wa injili Mathias Nziku ambaye anatamba na kibao chake cha mwimba ambao jana Kanisa muziki tumeiachia rasmi anatarajia kutua makao makuu siku ya jumapili hii kwa ajili ya kushiriki kiuimbaji katika tamasha kubwa litakalofanyika katika ukumbi wa FPTC maeneo ya Chamwino ni kuanzia saa nane mchana jumapili hii.
0 comments:
Post a Comment