MIMI NA ACHA KULIA ASEMA GAZUKO
Mwanagospel hip hop Gazuko amesema kwa sasa ameamua kuisimamia video yake ya acha kulia ambayo imefanya na kampuni ya kingdom media iliyochini ya dirrector Alex Joseck ...Gazuko amesema hayo siku chache baada ya kumalizika kwa tuzo za AGMA ambapo yeye alikuwa kwenye category ya AFRO RAP ARTIST OF THE YEAR lakini hakufanikiwa kuichukua tuzo hiyo Gazuko amesema kuwa ameamua kuuchukua uamuzi huo wa kuisambaza video ya acha kulia ambayo itaambatana na documentary itakayokwenda kwa jina la ACHA KULIA ambapo utapata kujua mambo mengi yanayomhusu Gazuko Junior na muziki anaofanya Gazuko amechukua uamuziki huo baada ya kupewa ushauri na watu mbali mbali hivyo nawe unaweza ukamtafuta Gazuko kwa kumshauri jambo lolote anapatikana kwa namba 0657985598 kwa kufanya hivyo utaweza kuongea na Gazuko mwenyewe ....kwa hisani ya Wana Wa Kingdom
0 comments:
Post a Comment