MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI SAMMY KAPELA AINGIZA MTAANI DVD YA TAMASHA LAKE
Mwimbaji anayekuja kwa kasi sana katika anga la muziki wa injili hapa nchini Tanzania anayekwenda kwa jina la Sammy Sammy Kapelah ameamua kuisambaza dvd yenye matukio ya tamasha lake la Shtuka kwa Yesu ambalo alikuwa akizindua wimbo wake wa shtuka kwa Yesu .... sammy Kapela amewaomba wadau wa muziki mbali mbali wamsapoti kwa kununua kazi yake hii ambayo ndani yake kuna waimbaji mbali mbali wa muziki wa injili waliopafomu utaweza kujionea waimbaji kama, 1.huru kweli 2.kwantii 3.gazuko 4.janeth ngende 5. sayuni band nawengine kibao..dvd hii inapatikana kwa shilingi elfu tano tu...ili kuipata dvd hii ya shtuka kwa yesu wasiliana na Sammy Kapela kwa simu namba 0767116162 au 0718116491 moja kwa moja utawasiliana na juyu mwimbaji na utaweza kujipatia dvd yako ya tamasha la shtuka kwa Yesu.....tuwasapoti waimbaji wetu ili watimize malengo ao
0 comments:
Post a Comment