Advertisements

Saturday, July 5, 2014

MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI APEWA JINA LA SOMBA SOMBA.


                                                         Somba somba akiwa katika pozi
kwa wale wadau wa muziki wa injili kwa kwa style ya kufokafoka maarufu kwa jina la Gospel hip hop hili jina kwao linakuwa sio geni, hapa namzungumzia mwanaharakati wa gospel hip hop anayeitwa Peter anayetamba na wimbo wake wa faster faster laini kutokana na kazi anazozifanya kwa ajili ya Bwana ikapelekea mashabiki zake kumpa jina la Somba somba kwa maana mara nyingi amekuwa akiwasomba watu mbali mbali kutoka kwenye ufalme wa giza na kuwaleta kwenye ufalme wa nuru ambao ni wa Yesu kristo......
                                             Somba somba akiwajibika jukwani

Somba somba ambaye sasa ana album yake inayokwenda kwa jina la FASTER FASTER ambapo humo ndani amewashirikisha waimbaji mbali mbali wa muziki wa injili hapa nchini Tanzania kama vile sir Mbezi na Gazuko katika wimbo wa Acha ubishi lakini pia humo ndani ya album yake inatakribani nyimbo kumi kuna wimbo unaoitwa Faster faster ambao ndio umebeba album...je ungependa kuwasiliana na mwimbaji huyu ?
Mpigie simu kwa namba hizi 0716851970 na moja kwa moja utawasiliana na mwimbaji huyu anayeitwa Somba somba.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © KANISA MUZIKI All Right Reserved
Designed by Harman Singh Hira @ Open w3.