Advertisements

Thursday, June 19, 2014

RUNGU LA YESU AJA NA ILIKUWA ZAMANI



                                              RUNGU LA YESU NA SILAS MBISE
BAADA YA KUKAA KIMYA MUDA MREFU MZEE WA YOM RUNGU LA YESU KWA KUTOKUACHIA NYIMBO MPYA,IMEMPENDEZA MUNGU MWANZONI MWA MWEZI WA SABA TAREHE ZA MWANZONI NITAACHIA NYIMBO YANGU MPYA INAIITWAYO "ILIKUWA ZAMANI" NI KAZI AMBAYO KIITIKIO AMESIMAMA MTU MZIMA BISHOP NICK SHABOKA a.k.a (MUME WA WA ROSE MUSHI) NI NYIMBO AMBAYA MIMI MWENYEWE BINAFSI NIKIISIKIA KUANZIA UANDISHI WA MASHAIRI NA MIANGUKO YAKE NAWEZA KUSEMA HII NI KAZI AMBAYO BWANA AMEIPAKA MAFUTA SI KIKAWAIDA,NICK NAE AMEIMBA CHORUS AMBAYO HAJAWAIGI KUIMBA JINSI ILIVYO SIMAMA ...NAITAJIMAOMBI YENU WATU WANGU MNAOPENDA HUDUMA YANGU MAANA HATUFANYI KUTAFUTA UMAARUFU WETU BALI TUNAFANYA KWA UTUKUFU WA MUNGU WETU ILI MITAA IZIDI KUOKOLEWA ZAIDI...TAZAMA HII AKAPELA AMBAYO NIMEITUPA YOUTUBE KABLA YA MZIGO KUTOKA RASMI ...YESU OKOA MITAA KILA KONA YA MTAA
TAZAMA VIDEO HII

0 comments:

Post a Comment

Copyright © KANISA MUZIKI All Right Reserved
Designed by Harman Singh Hira @ Open w3.