GAZUKO KUACHIA VIDEO YAKE YA ACHA KULIA JUMAPILI YA KESHO.
Baaaada ya kimya kirefu atimaye sasa Mwanaharakati wa gospel hip hop anayekwenda kwa jina la Gazuko siku ya kesho ameamua kuachia video yake ya "ACHA KULIA" ambayo imekua ikisubiliwa kwa kitambo kirefu saana.
Gazuko amesema kuwa video hiyo ambayo imefanywa na kampuni ya KINGDOM MEDIA iliyopo nchini Marekani itakuwa hewani kupitia youtube chanel ya Kingdom Media (ifikapo kesho bonyeza hapa KINGDOM MEDIA )
0 comments:
Post a Comment