TAZAMA PICHA ZA TAMASHA HILI LIMEFANYIKA SIKU KADHAA NYUMA
Wakati mwingine haikuwa rahisi kupata majina ya waimbaji wote katika tamasha hilo. lakini kulikuwa na tamasha zuri la sifa na kuabudu. Watu walifurahia pamoja na kwamba kulitokea kasoro za hapa na pale kutokana na hitilafu ya umeme.Kwaya ya watoto ya Maranatha Kigamboni |
Sehemu ya wapendwa walofika kutoa sapoti kwa ajili ya Tamasha. Tulibarikiwa sana |
Watoto hawakuacha kuwepo |
Waandaaji wa Tamasha hili kanisa la Active Believers |
Hawa wamjamaa walikuwa kivutio sana. Umeme ulileta hitilafu wao wakaongoza jahazi kutuimbisha zile nyimbo za kusifu za zamani! Unazikumbuka? "Paulo na Sila waliomba, milango ya gereza ikafunguka..." |
Watumishi wa Mungu Mwinjilisti Emmanuel Jeremia na Mwinjilisti Suzy pia walikuwepo |
Anaitwa dada Mariam alitumbuiza vizuri |
Mavuvuzera pia yalikuwepo |
Ilikuwa full mziki. Tarehe 07-04-2014 Next Level team watakuwa Upanga kwenye Tamasha jingine |
Kwa taarifa yako watoto wanajua kusifu |
Unadhani waimbaji wote waweza kucheza na vifaa kama hivi? |
Huyu ni rapa wa Yesu. Mama Mchungaji alidokeza kwamba kijana huyu ametoka mbali sana mpaka hapa alipo. Unajua Yesu huwa anatutoa mbali sana maishani. Anaitwa GAZUKO toka vingunguti |
Sikukamata majina ya watumishi hawa |
0 comments:
Post a Comment