PICHA ZA HARUSI ZA MWIMBAJI ALIYEKUWA SHOGA
Amosi akiwa na mkewe baada ya kufunga harusi. |
ni heshima ya namna gani ya harusi ya heshima kama hii mbele za madhabahu ya Bwana |
Mtumishi wa Mungu Amosi akiimba moja ya nyimbo zake. |
hili tukio la kihistoria lilifanyika katika kanisa la TAG Magomeni tar 13-04-2014 Amosi alipofunga pingu za maisha na kudhihilishia uma kuwa sasa yeye kabadilishwa na yesu na sasa ana maisha mapya.
wakiingia ukumbini |
Akiimba nyimbo |
hicho ni cheti kuonyesha ndoa hii ni halali |
Msajili wa ndoa hiyo mch D. Kanemba na mapaparazi nao walikuwepo |
0 comments:
Post a Comment