Advertisements

Friday, April 18, 2014

MAVAZI YA MWANAMAPINDUZI YAOKOA MAISHA YA ROSE MHANDO


                     MAXMILIAN MAMCHUM A.KA. MWANAMAPINDUZI
Katika hali isiyo ya kawaida ila imetokea ni kwamba mavazi ya mwimbaji wa muziki wa injili Mchungaji Maxmilian Mamchum wengi wamemzoea kwa jina la Mwanamapinduzi au Majeshi majeshi amefanikiwa kuokoa maisha ya mwimbaji Rose Mhando kutokana na nguo alizokuwa amevaa.


                                                                   ROSE MHANDO


Inasemekana kuwa majumaa kadhaa yaliyopita kuna watu ambao wanamtafuta Rose si kwa nia njema hivyo walijaribu kuingia katika tamasha la muziki wa injili lilkiloandaliwa naRose lililokuwa limefanyika maeneo ya magomen ndipo walipoingia wakamkuta mtu ameketi meza kuu akiwa amevalia mavazi yanayofanana na sare za jeshi huku mabegani kukiwa na nyota hivyo ikabidi hao watu watimue mbio na kusindwa kufanikisha lengo lao...maelezo haya yametolewa na rafiki wa karibu wa Rose Mhando ambaye naye ni mwimbaji anaitwa Stela Joel

0 comments:

Post a Comment

Copyright © KANISA MUZIKI All Right Reserved
Designed by Harman Singh Hira @ Open w3.