GEORGE SILAA KUINGIZA MZIGO MPYA
Ni kijana mtanashati mwenyewe huwa anapenda kujiita Young Super Star wa Gospel rap ambaye amewahi kutamba na ngoma yake ya kwanza inayoitwa "Mungu ni Muweza" na kufanya vizuri kwenye media mbali mbali za ndani na nje mipaka ya Tanzania sasa George Silaa yuko mbioni kuachia ngoma mpya kabisa na kali inayoitwa "KANISA".Ngoma hiyo aliyoifanyia kwenye studio za House of God Studio na prodyuza wake wa ukwel aitwaye Aaron Michael..Kwenye Ngoma ya Super star huyo amemshirikisha mwanadada wenye vocals zilizobarikiwa aitwaye Irene...Ni ujio mpya kabisa na Bonge la Gospel hip hop Hit...
HUU NI WIMBO WA MUNGU NI MUWEZA WA WA KIJANA GEORGE SILAA BONYEZA KUUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD
0 comments:
Post a Comment