RUNGU LA YESU NDANI YA MISHENI MPYA! NI IPI? NA WAPI? SOMA HAPA!
Jambo la kwanza atakuwa na semina katika kanisa la FPCT Bomba Mzinga
kuanzia Jumatano hii ya Tarehe 16/4/2014 Mpaka Jumapili ya Tarehe
20/4/2014 Ambayo itakuwa ni siku ya Pasaka, RUNGU LA YESU atakuwa akifundisha Neno La Mungu Kanisani hapo.
Na jioni ya Pasaka kutakuwa na tamasha la YESU OKOA MITAA, RUNGU LA YESU anamewaomba wakazi wa Tabora kujitokeza kwa wingi kwenye Semina hiyo na Jumapili maana ambayo itakuwa ni kilele Cha YESU OKOA MITAA.
Kanisa la FPCT Bomba Mzinga lipo pale Mjini Tabora linaloongozwa na Mchungaji DAVID AMON.
RUNGU LA YESU pia anawatakia utulivu katika kipindi hiki cha pasaka.
YESU OKOA MITAA, KILA KONA YA MTAA!
0 comments:
Post a Comment